Posts

Showing posts from 2016

Kenya 🇰🇪 Teachers Are The Most Well Paid In East Africa

Image
ANALYSIS By Dorris Otieno Kenyan teachers are not only the best paid in East Africa, but also earn almost 12 times more than the country's average pay, a comparative study by Nation Newsplex and the Institute of Economic Affairs reveals. Even as teachers go on strike for the 12th time since their first industrial action in 1962, the analysis, which compares teachers' salaries in Kenya with those of their peers in select African countries , also finds that the lowest-paid teacher in Kenya earns more than the highest-paid teacher in Uganda. Uganda and South Africa were chosen as countries against which to compare wages of teachers because they have the most up-to-date data against which the comparison could be made. While Tanzania was not included in the comparison because only average pay for the year 2011 was available, even its figures indicated that Kenyan teachers earn more than their Tanzanian counterparts. The highest paid Kenyan teacher earns almost 12 times more than the

SABABU KWA NINI UTUMIE MITANDAO YA KIJAMII KUTANGAZA BIASHARA NA SHUGHULI ZAKO:

Image
SABABU KWA NINI UTUMIE MITANDAO YA KIJAMII KUTANGAZA BIASHARA NA SHUGHULI ZAKO: Kabla ya kukua kwa matumizi ya Intaneti , Biashara na Shughuli nyingi zilitumia mbinu ya moja kwa moja ( offline marketing tactics) kujitangaza. Kadri matumizi ya Mtandao wa Intaneti yalivyoongezeka kila mtu mwenye biashara na shughuli inayotakiwa kujulikana kwa watu alianza na kuendelea kutumia ili kuwafikia Wateja kwa Urahisi na kwa haraka sana. Tumeona Makampuni Makubwa kwa Madogo na Taasisi mbalimbali zikifungua wovuti binafsi kuwakirisha shughuli zao. Wovuti hizi zilianzishwa kiuta alamu zikisimama juu kwenye Injini za Utafutaji ( Search Engines) na Maneno Muafaka ( specific keywords).

Why Use Facebook in Marketing?

Image
Why Use Facebook in Marketing? Facebook is the number one social networking site with a massive number of daily users. The website allows businesses to create Fan Pages and use banners to set up advertisements in order to market their businesses and interact with consumers.

NIKUJULISHE BENO NDULU, SISI NI WAKULIMA WADOGO, WAFUGAJI…… NA SI WAPIGA DEAL WA BOT TWIN TOWERS!

Image
NIKUJULISHE BENO NDULU, SISI NI WAKULIMA WADOGO, WAFUGAJI…… NA SI WAPIGA DEAL WA BOT TWIN TOWERS! Nianze makala yangu kwa kutumia maneno ya Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Beno Ndulu, kama ilivyoripotiwa na baadhi ya Magazeti ya Leo! Nanukuu,’’Wanaopiga kelele kuwa hakuna mzunguko wa hela nchini ni wale wapiga Deal,waliodhibitiwa na Serikali ya Magufuli’’ Mwisho wa Kunukuu.

Hatua 8 Kutengeneza Maelezo Binafsi na Yenye Mvuto LinkedIn

Image
Hatua 8 Kutengeneza Maelezo Binafsi na Yenye Mvuto LinkedIn Upo Utafiti wa karibuni wenye kuonyesha kuwa 94% ya Waajiri siku hizi utumia Mitandao ya Kijamii Kutafuta Wafanyakazi. Hii inatumika kwa aina zote za ajira tofauti na inawaacha wengi wakijiuliza maswali inakuwaje Mitandao inafanya maajabu haya na hasa LinkedIn!

Tips on How to Realise ROI for Your Business Using Facebook Marketing!

Image
Tips on How to Realiz e ROI for Your Business Using Facebook Marketing!

Tips on How To Grow Your Business Using Pinterest!

Image
Tips on How To Grow Your Business Using Pinterest!

Why Use Facebook in Marketing?

Image
Why Use Facebook in Marketing?    Facebook is the number one social networking site with a massive number of daily users. The website allows businesses to create Fan Pages and use banners to set up advertisements in order to market their businesses and interact with consumers.

Revolutionizing Small Businesses using Social Media

Image
Revolutionizing Small Businesses using Social Media

Utafiti: Ushuzi Unaotokana na Kujamba, una Uwezo wa Kutibu Ugonjwa wa Saratani

Image
Utafiti: Ushuzi Unaotokana na Kujamba, una Uwezo wa Kutibu Ugonjwa wa Saratani

Social Media is Worth the Time

Image
Social Media is Worth the Time Social media is a very important marketing tool for businesses today. Everywhere you go, people are in Facebook, Twitter, LinkedIn, Google plus and any other social network that connects people with others. With Facebook alone having 800+ million users, you know that your business needs to jump into the massive social media market. Small businesses have limited resources and it is up to you, the business owner, to find ways and to enhance your business’ presence. Setting up social media profiles and campaigns can be a little confusing and somewhat time-consuming; but it cannot be ignored.

Muonekano Usio wa Kawaida wa “DUARA LA MOTO” Ulivyoonekana Rujewa, Kusini mwa Tanzania!

Muonekano Usio wa Kawaida wa “DUARA LA MOTO” Ulivyoonekana Rujewa, Kusini mwa Tanzania!

Mbinu 7 Kuongeza Wafuasi Katika Instagram

Image
Mbinu 7 Kuongeza Wafuasi Katika Instagram Tangu kuanzishwa kwake Instagram imekuwa mstari wa mbele na matumizi mengi kutoka kwa vijana na watu wenye umri wa kati. Instagram imekuwa mtandao unaokua kwa kasi sana kuliko Mitandao mingine. Na utafiti umefanyika kuonyesha kuwa watu wenye umri kati ya miaka 20-60 wanautumia hivyo kama una mashaka kuwa uwezi kuongeza Wateja kupitia Mtandao huu umekosea!

NAMNA YA KUTUMIA WHATSAPP KIBIASHARA

Image
Habari wote mnaotembelea mtandao huu na kusoma katika ukurasa wangu. Nimeona leo niwahusishe na kuwaletea somo moja la “ NAMNA YA KUTUMIA WHATSAPP KIBIASHARA ”. Nyote ni mashaidi kuwa linapokuja suala la mitandao ya kijamii, WHATSAPP imetokea kuwa na matumizi makubwa kutokana na mfumo wa kutumia UJUMBE kutoka kwa mtu kwenda kwa mwingine ( personalized messages ). Hii inaufanya mtandao huu wa Kijamii kwa sasa kuwa maarufu katika Ulimwengu wa Digitali na unatumika kama kifaa cha kuendeleza biashara hasa suala la utafutaji wa MASOKO NA FURSA.

LinkedIn: A Social Networking Site for Business People and Professionals To Connect

Image
  When most people talk about “Social Media,” they only concentrate on Facebook, Instagram and Twitter. While these are the biggest social media sites, they are certainly not the only ones doing well. LinkedIn has managed to gather approximately 500 million users and is now one of the most influential social media networks on the internet.  You have probably received an invitation to LinkedIn from a friend or peer over the past few years. Did you accept? Do you even have a LinkedIn account? If not, you are missing out on a huge networking opportunity. Many local businesses ignore this platform simply because they don’t understand how powerful it can be for exposing and growing their businesses.   LinkedIn is the most popular social networking sites when it comes to online “business networking”. It is a platform that allows business people and professionals all over the world, regardless of their industry, to connect with other professionals.  It is a great environment