Posts

Showing posts from August, 2020

Kenya 🇰🇪 Teachers Are The Most Well Paid In East Africa

Image
ANALYSIS By Dorris Otieno Kenyan teachers are not only the best paid in East Africa, but also earn almost 12 times more than the country's average pay, a comparative study by Nation Newsplex and the Institute of Economic Affairs reveals. Even as teachers go on strike for the 12th time since their first industrial action in 1962, the analysis, which compares teachers' salaries in Kenya with those of their peers in select African countries , also finds that the lowest-paid teacher in Kenya earns more than the highest-paid teacher in Uganda. Uganda and South Africa were chosen as countries against which to compare wages of teachers because they have the most up-to-date data against which the comparison could be made. While Tanzania was not included in the comparison because only average pay for the year 2011 was available, even its figures indicated that Kenyan teachers earn more than their Tanzanian counterparts. The highest paid Kenyan teacher earns almost 12 times more than the

Mbinu 7 Kuongeza Wafuasi Katika Instagram na Kukuza Biashara Yako

Image
MBINU SABA KUONGEZA WAFUASI KATIKA INSTAGRAM Tangu kuanzishwa kwake Instagram imekuwa mstari wa mbele na matumizi mengi kutoka kwa vijana na watu wenye umri wa kati. Instagram imekuwa mtandao unaokua kwa kasi sana kuliko Mitandao mingine. Na utafiti umefanyika kuonyesha kuwa watu wenye umri kati ya miaka 20-60 wanautumia hivyo kama una mashaka kuwa uwezi kuongeza Wateja kupitia Mtandao huu umekosea! Sasa ni kweli kuwa watafuta masoko mtandao hawatumii Mtandao huu kutafuta Wateja? Kipindi cha nyuma kinaonyesha kulikuwepo mtazamo usio wa uelewa (uncognitive bias) linapokuja suala la kuuza kupitia Instagram. Instagram imeanza kutumia na kuunganisha akaunti yako na Wovuti kwenye "bio" katika sehemu ya maelezo binafsi "profile". Hivi ni viashiria kuwa Instagram ni Mtandao Maudhui Masoko ( Content based platform) ambao uwezi kupata matokeo mazuri ya uwekezaji ( Return On Investment, ROI). Lakini hii ni upotoshaji, kwani kila Mtandao una namna yake ya kutafuta masoko. M

Namna ya Kutumia WhatsApp Kibiashara

Image
Nimeona leo niwahusishe na kuwaletea somo moja la “NAMNA YA KUTUMIA WHATSAPP KIBIASHARA”. Nyote ni mashaidi kuwa linapokuja suala la mitandao ya kijamii, WHATSAPPimetokea kuwa na matumizi makubwa kutokana na mfumo wa kutumia UJUMBE kutoka kwa mtu kwenda kwa mwingine (personalized messages). Hii inaufanya mtandao huu wa Kijamii kwa sasa kuwa maarufu katika Ulimwengu wa Digitali na unatumika kama kifaa cha kuendeleza biashara hasa suala la utafutaji wa MASOKO NA FURSA. Katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2014 uko India, WhatsApp ilitumiwa kwa wingi na nguvu na Vyama vya Kisiasa kama chombo cha kuwafikia wapiga kura kwa urahisi. Matokeo yalikuwa makubwa,kwa Vyama Vya Siasa kupeleka Ujumbe wa kuelezea SERA zao kwa wananchi kwa haraka na muda mfupi. Nipende kusema siyo Wanasiasa tu wa India lakini hata hapa Nchini kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, tumejionea jinsi habari za Uchaguzi na Kampeni kutoka kwa Wagombea zilivyo kuwa zinatufikia kwa urahisi kupitia WhatsApp. Mkakati huu wa kujita