Posts

Showing posts from November, 2016

Kenya 🇰🇪 Teachers Are The Most Well Paid In East Africa

Image
ANALYSIS By Dorris Otieno Kenyan teachers are not only the best paid in East Africa, but also earn almost 12 times more than the country's average pay, a comparative study by Nation Newsplex and the Institute of Economic Affairs reveals. Even as teachers go on strike for the 12th time since their first industrial action in 1962, the analysis, which compares teachers' salaries in Kenya with those of their peers in select African countries , also finds that the lowest-paid teacher in Kenya earns more than the highest-paid teacher in Uganda. Uganda and South Africa were chosen as countries against which to compare wages of teachers because they have the most up-to-date data against which the comparison could be made. While Tanzania was not included in the comparison because only average pay for the year 2011 was available, even its figures indicated that Kenyan teachers earn more than their Tanzanian counterparts. The highest paid Kenyan teacher earns almost 12 times more than the

SABABU KWA NINI UTUMIE MITANDAO YA KIJAMII KUTANGAZA BIASHARA NA SHUGHULI ZAKO:

Image
SABABU KWA NINI UTUMIE MITANDAO YA KIJAMII KUTANGAZA BIASHARA NA SHUGHULI ZAKO: Kabla ya kukua kwa matumizi ya Intaneti , Biashara na Shughuli nyingi zilitumia mbinu ya moja kwa moja ( offline marketing tactics) kujitangaza. Kadri matumizi ya Mtandao wa Intaneti yalivyoongezeka kila mtu mwenye biashara na shughuli inayotakiwa kujulikana kwa watu alianza na kuendelea kutumia ili kuwafikia Wateja kwa Urahisi na kwa haraka sana. Tumeona Makampuni Makubwa kwa Madogo na Taasisi mbalimbali zikifungua wovuti binafsi kuwakirisha shughuli zao. Wovuti hizi zilianzishwa kiuta alamu zikisimama juu kwenye Injini za Utafutaji ( Search Engines) na Maneno Muafaka ( specific keywords).

Why Use Facebook in Marketing?

Image
Why Use Facebook in Marketing? Facebook is the number one social networking site with a massive number of daily users. The website allows businesses to create Fan Pages and use banners to set up advertisements in order to market their businesses and interact with consumers.

NIKUJULISHE BENO NDULU, SISI NI WAKULIMA WADOGO, WAFUGAJI…… NA SI WAPIGA DEAL WA BOT TWIN TOWERS!

Image
NIKUJULISHE BENO NDULU, SISI NI WAKULIMA WADOGO, WAFUGAJI…… NA SI WAPIGA DEAL WA BOT TWIN TOWERS! Nianze makala yangu kwa kutumia maneno ya Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Beno Ndulu, kama ilivyoripotiwa na baadhi ya Magazeti ya Leo! Nanukuu,’’Wanaopiga kelele kuwa hakuna mzunguko wa hela nchini ni wale wapiga Deal,waliodhibitiwa na Serikali ya Magufuli’’ Mwisho wa Kunukuu.