Posts

Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Teachers Are The Most Well Paid In East Africa

Image
ANALYSIS By Dorris Otieno Kenyan teachers are not only the best paid in East Africa, but also earn almost 12 times more than the country's average pay, a comparative study by Nation Newsplex and the Institute of Economic Affairs reveals. Even as teachers go on strike for the 12th time since their first industrial action in 1962, the analysis, which compares teachers' salaries in Kenya with those of their peers in select African countries , also finds that the lowest-paid teacher in Kenya earns more than the highest-paid teacher in Uganda. Uganda and South Africa were chosen as countries against which to compare wages of teachers because they have the most up-to-date data against which the comparison could be made. While Tanzania was not included in the comparison because only average pay for the year 2011 was available, even its figures indicated that Kenyan teachers earn more than their Tanzanian counterparts. The highest paid Kenyan teacher earns almost 12 times more than the...

Mbinu 7 Kuongeza Wafuasi Katika Instagram na Kukuza Biashara Yako

Image
MBINU SABA KUONGEZA WAFUASI KATIKA INSTAGRAM Tangu kuanzishwa kwake Instagram imekuwa mstari wa mbele na matumizi mengi kutoka kwa vijana na watu wenye umri wa kati. Instagram imekuwa mtandao unaokua kwa kasi sana kuliko Mitandao mingine. Na utafiti umefanyika kuonyesha kuwa watu wenye umri kati ya miaka 20-60 wanautumia hivyo kama una mashaka kuwa uwezi kuongeza Wateja kupitia Mtandao huu umekosea! Sasa ni kweli kuwa watafuta masoko mtandao hawatumii Mtandao huu kutafuta Wateja? Kipindi cha nyuma kinaonyesha kulikuwepo mtazamo usio wa uelewa (uncognitive bias) linapokuja suala la kuuza kupitia Instagram. Instagram imeanza kutumia na kuunganisha akaunti yako na Wovuti kwenye "bio" katika sehemu ya maelezo binafsi "profile". Hivi ni viashiria kuwa Instagram ni Mtandao Maudhui Masoko ( Content based platform) ambao uwezi kupata matokeo mazuri ya uwekezaji ( Return On Investment, ROI). Lakini hii ni upotoshaji, kwani kila Mtandao una namna yake ya kutafuta masoko. M...

Namna ya Kutumia WhatsApp Kibiashara

Image
Nimeona leo niwahusishe na kuwaletea somo moja la “NAMNA YA KUTUMIA WHATSAPP KIBIASHARA”. Nyote ni mashaidi kuwa linapokuja suala la mitandao ya kijamii, WHATSAPPimetokea kuwa na matumizi makubwa kutokana na mfumo wa kutumia UJUMBE kutoka kwa mtu kwenda kwa mwingine (personalized messages). Hii inaufanya mtandao huu wa Kijamii kwa sasa kuwa maarufu katika Ulimwengu wa Digitali na unatumika kama kifaa cha kuendeleza biashara hasa suala la utafutaji wa MASOKO NA FURSA. Katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2014 uko India, WhatsApp ilitumiwa kwa wingi na nguvu na Vyama vya Kisiasa kama chombo cha kuwafikia wapiga kura kwa urahisi. Matokeo yalikuwa makubwa,kwa Vyama Vya Siasa kupeleka Ujumbe wa kuelezea SERA zao kwa wananchi kwa haraka na muda mfupi. Nipende kusema siyo Wanasiasa tu wa India lakini hata hapa Nchini kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, tumejionea jinsi habari za Uchaguzi na Kampeni kutoka kwa Wagombea zilivyo kuwa zinatufikia kwa urahisi kupitia WhatsApp. Mkakati huu wa kujita...

With the Rise of Digital Marketing, Traditional Means Are At Stake! Numbers Don't Lie!

Image
With The Rise of Digital Marketing, Traditional Means At Stake! Numbers Do Not Lie! With The Rise of Digital Marketing, Traditional Means At Stake! Numbers Do Not Lie ! “Social Media” is a red-hot buzz phrase in case you haven’t heard. Everyone is  using it including women, men, and children of all ages. Most importantly, your customers are using Social media as well and they  expect that your business is in the social loop too. Social media can be described as information content that is created using new technologies with an aim to facilitate influence, communication, and  interaction with the world; including friends, family, peers and customers. In other words, social media is an advanced way that people can interact  using the latest digital technology. Social media networking usually happens through mobile communications networks and the internet, which  allow instant access to these platforms. Social media does not stop at simply publishing information; the real goal is to get p...

Dar es Salaam Aspiring To Become A Mega City

Image
  Serving as a business center not just for Tanzania but for the neighbouring countries of Zambia, Eastern Congo, Burundi and Rwanda being in the City of Hope and Faith Real Estate is not a problem for you! The beauty of Dar-es-Salaam is always within reach! ๐Ÿงก Come and enjoy this magical city... Thanks for sharing ๐Ÿ™ Be lucky to visit the Kigamboni fish market and one of the oldest landmark of the area. Combine leisure with business. Remember Dar es Salaam has a number long, white and beautiful beaches Malaika Beach Club is one of the them! Magical moments are hard to forget and explain into simple words! ๐Ÿงก Good Evening Dar-es-Salaam... You will love fresh perspectives on a familiar places visiting metropolitan Dar es Salaam! ๐Ÿ’š Get assure to get value for money services whether you are in business trip, leisure or tour.

NJIA 8 ZA KUONGEZA MAHUSIANO MAZURI FACEBOOK NA KUIMARISHA BIASHARA YAKO

Image
Kulingana na Utafiti uliofanywa na "Creative Group", 50% ya Maafisa Masoko kwenye Makampuni walisema wanategemea kuongeza uwekezaji Facebook mwaka huu. Facebook ni rahisi, unaboresha ukurasa wako wafuasi watafurika haraka sana na kujibu! Hiyo ni ndoto ya kila mwenye kuingia hapa kabla hajaanza au ndivyo alivyosikia kutoka kwa watu wanaodai ni Wataalamu katika fani hii. Wengi  wao uishia Kutelekeza Kurasa au kuacha wasipoona matokea mazuri wanayotarajia licha ya kutuma taarifa mara kwa mara! Hapa nikupe ukweli; watu hawahitaji kusikia au kuona bidhaa yako mara kwa mara. Kwa nini wasikie au waone wakati muda wote wanakuwa wamerundikiwa na Matangazo kutoka Mbaoni, TV, Radio ata mtu anapotembelea mtandao wa Inteneti. Ngoja tukabiliane na ukweli huu; watu hawaji  Facebook kuona matangazo. Kinachowaogopesha wenye kutangaza ni kuwa Facebook imetengenezwa ikimpa mtumiaji nguvu ya kutawala, hivyo anaweza kuamua kulidharau na kuliacha kando Tangazo lako ak...

MBINU SABA (7) KUONGEZA WAFUASI KATIKA INSTAGRAM

Image
MBINU SABA KUONGEZA WAFUASI KATIKA INSTAGRAM Tangu kuanzishwa kwake Instagram imekuwa mstari wa mbele na matumizi mengi kutoka kwa vijana na watu wenye umri wa kati. Instagram imekuwa mtandao unaokua kwa kasi sana kuliko Mitandao mingine. Na utafiti umefanyika kuonyesha kuwa watu wenye umri kati ya miaka 20-60 wanautumia hivyo kama una mashaka kuwa uwezi kuongeza Wateja kupitia Mtandao huu umekosea! Sasa ni kweli kuwa watafuta masoko mtandao hawatumii Mtandao huu kutafuta Wateja? Kipindi cha nyuma kinaonyesha kulikuwepo mtazamo usio wa uelewa (uncognitive bias) linapokuja suala la kuuza kupitia Instagram. Instagram imeanza kutumia na kuunganisha akaunti yako na Wovuti kwenye "bio" katika sehemu ya maelezo binafsi "profile". Hivi ni viashiria kuwa Instagram ni Mtandao Maudhui Masoko ( Content based platform) ambao uwezi kupata matokeo mazuri ya uwekezaji ( Return On Investment, ROI). Lakini hii ni upotoshaji, kwani kila Mtandao una namna yak...